DEREVA WA BAJAJI POSITION DESCRIPTION:
-Anahitajika dereva muaminifu ataetimiza malengo ya kila siku
– Umri usizidi miaka 35
– Awe mkazi wa mbeya
– Awe na leseni yakuendeshea bajaji
APPLICATION INSTRUCTIONS:
– Awe na mdhamini wa kuaminika
– Piga simu namba 0713123894
Application Deadline: 15 Jun 2015